Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 21, 2011

MWENYEKITI WA WAMA MAMA SALMA KIKWETE AAGANA NA WALIMU WANAFUNZI WA ST. AUGUSTINEMwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia alievaa baibui) akizungumza na walimu wanafunzi kutoka chuo cha Ualimu St. Augustine tawi la Mtwara waliofika ofisini kwake leo mchana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo katika shule ya mfano ya watoto yatima WAMA -NAKAYAMA iliopo chini ya Taasisi ya WAMA.
Mama Salma akiwa katika Picha ya pamoja na walimu wanafunzi kutoka chuo cha ualimu ST. Augustine, tawi la Mtwara waliokwenda kumuaga ofisini kwake leo baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu kwa vitendo kwenye shule ya mfano ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA inayofadhiliwa na Taasisi ya WAMA huko Rufiji mkoa wa Pwani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...