Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 16, 2011

BFT WAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

Mwenyekiti wa Balaza la Michezo Nchini, Iddi Kipingu wa pili (kushoto) akiwa amevaa glove baada ya kukabidhi vifaa vya mchezo wa ngumi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa (BFT), Makore Mashaga Dar es salaam jana vilivyotolewa na Mamlaka ya Mfuko wa Pesheni ya Serekali za Mitaa (LAPF) kulia ni Makamu wa Rais Michael ChangalaweMwenyekiti wa Balaza la Michezo Nchini, Iddi KIpingu (kushoto) akikabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa ngumi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa (BFT), Makore Mashaga Dar es salaam jana vilivyotolewa na Mamlaka ya Mfuko wa Pesheni ya Serekali za Mitaa (LAPF) kulia ni Makamu wa Rais Michael Changalawe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...