Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 10, 2011

JENZI WA BARABARA KUTOKA MBEYA KWENDA SUMBAWANGA
Ujenzi wa barabara ukiwa unaendelea na hilo ni moja ya daraja kubwa ambalo lipo eneo la Kianda km 45 kutoka Sumbawanga mjini litalojengwa na kampuni ya AARSLEFF BAM INTERNATIONAL inayojenga barabara ya LAELA-SUMBAWANGA.

Picha kwa hisani ya mdau Veronica Stima kutoka Sumbawanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...