Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 13, 2011

WILLIAM NGELEJA NA BAJETI YAKE -DODOMA LEO


Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiingia Bungeni leo kuwakilisha mpango wa dharura wa upatikanaji nishati ya umeme nchini wakati akiwakilisha tena Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2011-2012
Pichaa na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

Msemaji wa kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe (miwani) akibadilishana mawazo na mbunge wa Ubungo (CHADEMA) John Mnyika wakati wa majadiliano ya kupitisha hoja ya Makadirio na Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2011-2012 Dododma leo, (picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO),Mbunge wa Same mashariki Anne Kilango Malecela akichangia Bungeni leo'

Pix 251 KBb Waziri wa Nishati naMadini William Ngeleja akiwakilisha Makadirio na Mapato ya wizara yake leo Bungeni(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

Mbunge wa Bumbuli January Makamba akichangia Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2011-2012= Picha na Mwanakombo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...