Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 17, 2011

MCHEZAJI NYOTA WA KIKAPU LIGI YA NBA DWIGTHT HOWARD ATUA MONDULI, ATOA MSAADA WA SH. MILIONI 90 KWA SHULE YA SEKONDARI KIPOKTINGZ'

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akisalimiana na mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu anayecheza Ligi ya NBA, Dwight David Howard, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya D12 Foundation kutoka nchini Maarekani baada ya mchezaji huyo kuwasili Monduli mkoani Arusha jana kwa ajili ya kufanya ziara ya kutembelea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyomo mkoani humo ambapo pia alitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana Kipok iliyopo Wilayani humo na kutoa msaada wa fedha Sh milioni 90, kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wa shule hiyo.
Dwight Howard, akipunga mkono kusalimia wananchi waliojitokeza kumpokea baada ya kuwasili Jimbo la Monduli.
http://sufianimafoto.blogspot.com/

4 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...