Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 30, 2011

Sherehe Ya Siku Ya Kuzaliwa Ya Mtoto Iman Pinto
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akikata keki tayari kumlisha mwanawe ImaniMtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, Imani Pinto, akikata keki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka minne ya kuzaliwa kwake, mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...