Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 31, 2011

HARBOURS SOCIA; AND SPORTS CLAB WALA IDI NA WATOTO WALEMAVU

Mwenyeki wa Harbours Social Sports Clab ya Kurasini, Bw. Athumani Mkangara (Kulia) akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko, Zena Yahaya Sehemu ya msaada wa vyakula kwa ajili ya Sikukuu ya Idi El Fitri kwa watoto wasioona na walemavu wa shule hiyo Dar es salaam jana kushoto ni mwalimu Mkuu Bi. Anna Man'genyaNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...