Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 13, 2011

Washiriki Vodacom Miss Tanzania watembelea MikumiWarembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania jana walifanya ziara kutembelea mbuga ya Wanyama ya Mikumi kujionea wanyama aina mbalimbali. Pichani ni warembo hao wakiwa katika safari hiyo ya Mkoani Morogoro na hapa wameteremka kidogo kufanya mambo yetu ya safarini.wakienda kutafuta mimizi ya Jiwe maana wameambiwa bila kupata hiyo ushindi patupu.
Yeah kila mmoja alikuwa na furaha baada ya kupata mzizi wake wa jiwe hivyo kazi ni kwao sasa nani atashinda na kila mtu amepata dawa...


Hapa ilikuwa ni chai pale Msavu mji Kasoro Bahari Morogoro.
walifika mikumi na hapa wapo geti kuu la kuingilia Hiofadhi hiyo.
waliona wamyama mbalimbali na katika wale Big 5 huyu walimuona
Mwana maringo Mrembo wa wanyama Mbugani Twiga nae walimuona na walifanyiwa C artwork za ukweli.
Katika maeneo muhimu waliteremka na kupatiwa maelekezo na muongozaji wao. Hapa ni katika bwawa la Viboko.http://mrokim.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...