Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 19, 2012

MABONDIA WA TIMU YA TAIFA WATANGAZWA LEO


jumla ya mabondia 17 kutoka timu ya taifa ya ngumi wamechaguliwa kuendelea kubakia katika kikosi cha timu ya taifa

katika mashindano ya mchujo yaliyo malizika tarehe 17.2.2012 Mabondia waliochaguliwa ni 49kg L-fly.John Christian na Said Pume.52kg fly.Abdalah Kassimu na George Costantinee 56kg bantam.Emilian Patrick na Undule Langson 60kg i-weight.Denis Martine na Fabian Gaudence 64kg L-welter.Victor Njaiti na Hamisi Kitenge 69kg welter.Mohamed Mhibumbui 75kg middle.Selemani Kidunda na Abdul Rashid 81kg l-heavy. Mhina Morris 91kg heavy.Haruna Swanga na Nuru Ibrahim 91-kg super heavy.Maxmillian Patrick.wote wanatakiwa kulipoti Ofisini katika shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT tarehe 21.2.2012 ili wapewe taratibu za kuanza mazoezi .


IMETOLEWA NA KATIBU MKUU WA BFI MAKORE MASHAGA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...