Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 26, 2012

MASHINDANO YA NBC LADIES GOLF SECTION YAFANYIKA LEO GYMKANA CLUB

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale akijiandaa kupiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni wachezaji na maofisa wa NBC.

Nahodha wa DGC Ladies Golf Section, Vivienne Mwaulambo akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale, baadhi ya wachezaji na maofisa wa benki hiyo.

: Mcheza gofu, Halima Mussa akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na NBC jijini Dar es Salaam leo

picha na http://www.fullshangweblog.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...