Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 17, 2012

Star Media (T) Limited yawakumbuka wakazi wa Mabwepande

Afisa Mtendaji Mkuu wa Star Media (T) Limited, Angelo Wang na, Danny Wongakifafanua jambo kuhusiana na msaada huo kwa waathirika wa mafuriko.
Wawakilishi wa Kampuni ya Star Times waliotembelea Mabwepande hivi karibuni na kutoa msaada wa mazulia wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala. Kutoka Kushoto ni Mr Danny Wong,Katibu Tawala, Eugenia, Kidani, Fidea, Mr Mbeo, Mr Angelo na Mr Joseph.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...