Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 28, 2012

WASHINDI WA SHINDANO LA ZAMU YAKO KUSHINDA WA KAMPUNI YA TIGO WAZAWADIWA

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya tigo, Alice Maro kushoto akikabidhi zawadi kwa mshindi wa lap top ,Flora Lyimo baada wa kuiibuka mshindi wa promosheni ya zamu yako kushinda anaeshuudia katikati ni Mratibu wa Promosheni na Matukio wa Kampuni ya tigo,Edward Shila
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, Alice Maro kushoto akikabidhi mfano wa hundi kwa Fidelis Mosha baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya zamu yako kushinda katikati ni Mratibu wa Promosheni na Matukio wa Kampuni ya tigo, Edward Shila
Baadhi ya washindi wa promosheni ya zamu yako kushinda inayoendeshwa na kampuni ya tigo wakiwa wameshika mfano wa hundi baada ya kukabidhiwa leo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...