Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 23, 2012

WAZIRI PROF. MBARAWA AZUNGUMZIA MFUMO WA DIJITALI KWA VYOMBO VYA HABARIWaziri wa wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu usitishwaji wa matangazo ya Televisheni kwa kutumia Technolojia ya analogia na kuhamia teknolojia ya utangazaji ya dijitali ambao utasitishwa rasmi tarehe 31 Disemba mwaka 2012 saa sita kamili usiku. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Frorens Turuka.


(Picha na Anna Itenda - Maelezo)


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...