Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 14, 2012

Wafanyakazi wa Vodacom wafanya kampeni ya "Find you Moyo" . Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akiongea na wafanyakazi wa kampuni hi

Wafanyakazi wa Vodacom wafanya kampeni ya "Find you Moyo"

. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'. Leo ni siku ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania Bw.Christopher Fawcett akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha matangazo wa kampuni hiyo Joseline Kamuhanda katika kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibadilishana mawazo wakati wa kampeni ya 'Find your Moyo'.inayohamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipozi kwa picha wakati wa kampeni ya 'Find your Moyo”kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao alipokuwa anaongea kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'. Leo ni siku ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.c
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akicheza muziki na Judith Kirimba ambae ni mfanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Raslimali watu wa Kimataifa wa Vodacom Hein Bisschoff kulia akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Bi.Najenjwa Mbagga kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya 'Find your Moyo'.Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipozi kwa picha wakati wa kampeni ya 'Find your Moyo”
Ofisa Mkuu wa masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akikusanya fedha zilizokuwa zikichangishwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kampeni ya kipekee ya 'Find your Moyo” inayohamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...