Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 28, 2012

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAADHIMISHA SIKU YA WADAU KWA KUTOA MSAADA WA MASHUKA 700 KWA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA MKOANI MBEYA

Naibi
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee, akitoa msaada wa Mashuka kwa Mganga
Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ruanda kinachotoa huduma kwa kinamama
Wajawazito, Eliot Sanga, wakati ujumbe huo ulipofika katika kituo hicho
kukabidhi misaada msaada huo leo Jijini
Mbeya.
Mjumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF, Mariam More, akikabidhi sehemu ya mashuka kwa
ajili ya baadhi ya Wodi za Hospiali hiyo wakati wa hafla fupi ya makabidhiano
hayo iliyofanyika leo jijini Mbeya. Jumla ya Mashuka 700 yalikabidhiwa katika
hafla hiyo leo.ANAYEPOKEA KATIBU WA AFYA WA HOSPITALI HIYO BI DORICE
NZIGIRWA
Mjumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHIF, Mariam More (kushto) akitandika moja ya shuka
katika kitanda kilichopo Wodi ya Wazazi kwenye Hospitali ya Igawilo baada ya
kukabidhi msaada wa mashuka.ANAYEMSAIDIA NI NESI MWANDAMIZI BI DORICE
MWAKABENGA
.
Huyu
si Mume Bwege bali ni mume anayeelewa majukumu ya Familia vilivyo, huu ni mfano
bora kwa wanaume ulioonyeshwa na kidume huyu aliyejulikana kwa jina la Gibson
Mwalibwa, akiwa na mtoto wake mgongoni wakati akitoka kupata huduma ya afya
katika kituo hicho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...