Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 12, 2012

MAMBO YA 'LADY IN REDS 2012'Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwakaribisha wageni katika onyesho hilo lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.
Jokate Mwegelo ambaye alikuwa ni mc wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012, katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho
Mambo hayooooo, mwanadada ambaye alipanda katika ufunguzi.kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chiddy Benzi akiwasha moto
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 (wa kwanza kulia) Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwa na mumewe Mzee Khamsin katika onyesho hilo lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani
Ehe! umeona mbao hayo...
Safi, (kulia) mbunifu wa mavazi akiwa na mwanamitindo wake.
Mbunifu chipukizi akiwa na mwanamitindo wake.
Haya sasa, unalo la kusema...'Lady In Lady' Reloaded 2012.
'Lady in Red' Reloaded 2012 liliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Wabunifu wachanga walionyesha mambo yao.
Ehe! mambo ya kizamani... kitu cha kaptula
Mkurugenzi wa Benchmark Production Ritah Paulsen akiwa katika pozi na kivazi chake.Jaquiline Patrick na mrembo Lisa Jensen wakipozi kwa picha katika onyesho hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...