Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 26, 2012

MSONDO NGOMA YAFANYA MAKAMUZI UKUMBI WA MAX BAR LEO

Waimbaji wa Bendi Kongwe ya Msondo Ngoma wakitoa burudan katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni Jumapili hii kutoka kushoto ni Hasani Moshi TX JR,Eddo Sanga na Juma Katundu.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

Wasanii wa bendi ya msondo wakitumbuiza katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni mpiga gita la RIDHIM, Mustafa Pishuu na mpiga tumba Amiri Said Dongo.(Picha na www.burudan.blogspot.com)Waimbaji wa Bendi ya Msondo ngoma Baba ya Muziki wakitoa burudan wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Shabani Dede na Juma Katundu.(Picha na www.burudan.blogspot.com)


Wapuliza Saxsaphone wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mngande Romariooo.(Picha na www.burudan.blogspot.com)


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...