Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 29, 2012

TAIFA STARS VS THE MAMBAS 1-1

Mchezaji Nizar Khalfan wa timu ya Taifa Stars akichuana na mchezaji Frasisco Masinga wa Msumbiji The "Mambas" wakati wa mchezo wao wa kuwania kufuzu katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatakayofanyika nchini Afrika Kusini unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa. Hivi sasa ni Kipindi cha pili na timu zinatoshana nguvu kwa kuwa na matokeo ya 1-1


Wachezaji wa Msumbiji na Taifa Stars wakiwania mpira wakati wa mchezo wao unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii.

Wachezaji wa Msumbiji wakishangilia goli lao la kwanza pamoja na mashabiki wao lililofungwa katika kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...