Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 21, 2012

PSPF YATOA MSAADA WA MADAWATI 60

Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw.Godfrey Ngonyani (kushoto) akikabidhi msaada wa Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatuwalioutoa leo kwa Mjumbe wa Kamati ya Shule Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani, Bi. Jacklin Kitego kulia na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Anifa Kombo.(Picha na Mpigapicha Wetu)
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakigombania kukaa kwenye madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF.(Picha na Mpigapicha Wetu)


Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kulia) akizungumza na Wazazi na Wanafunzi pamoja na Bodi ya Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa Madawati 60 yenyethamani ya milioni tatu kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Bi. Anifa Kombo na Mjumbe wa Bodi ya PSPF Bw. Ramadhani Maneno.(Picha na Mpigapicha Wetu)


bAADHI YA WANAFUNZI WAKIBEBA MADAWATI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...