Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, February 18, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMJULIA HALI MWASISI WA ASP NA TANU, COSTANTINE MILLINGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga.Katikati ni Mke wa Makamu Mama asha Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91)anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...