Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 21, 2012

OMARI MKALI NA STARA TOMASI WAUNGANA KUMTUKUZA BWANAMSANII nguli mchini wa mziki wa mduara Omari Mkari yupo mbioni kukamilisha albam mchanganyiko yenye nyimbo kadhaa za kusifia bwana akizungumza na mwandishi wetu Alisema kuwa kwa sasa ameamua kuweka kando miziki ya kidunia kwa kuwa wakati umekwenda na sasa atakuwa akishirikiana na kwaya mbalimbali kwa ajili ya kutoa nyimbo za kumtukuza bwana Akizungumzia DVD ambayo ipo njiani kutoka itakayokwenda kwa jina la Mkono wa Bwana iliyotolewa na Amen Part 3 Aliyoshilikiana na msanii wa Zuku Stara Tomas itakuwa moto wa kuotea mbali kwani kwa sasa kazi hizo zitakuwa zikisimamiwa na kampuni ya Steps Entatainmenti na kuwa na soko la uwakika kwakuwa kampuni hiyo imesambaa takribani nchi nzima na nchi za jirani kwa sasa Albamu hiyo itakayokuwa na nyimbo nane itakua chachu kwa watu wengu kumtukuza bwana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...