Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 17, 2012

MSANII SIMON MWAPAGATA 'RADO' ATOA MSAADA KWA WATOTO BUGURUNI VIZIWI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEPS ENTATAINMENT

Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.(Picha na http://www.burudan.blogspot.com/)Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.(Picha na http://www.burudan.blogspot.com/)


Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Winni Niko, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment.(Picha na http://www.burudan.blogspot.com/)


Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.(Picha na http://www.burudan.blogspot.com/)


Baadhi yac watoto wakipanga foleni kwa ajili ya kupata zawadi hizo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...