Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 15, 2012

KAMPUNI YA TIGO KUSAIDIA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA NEW LIFE ORPHANS HOME

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo Bi. Alice Maro (kulia)
akila chakula cha mchana na watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha kulelea watoto hawo cha NEW LIFE ORPHANS HOME kilichopo Kigogo Dar es salaam leo


Msimamizi wa Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo Bw. Gaurdence Mushi katikati akila chakula cha mchana na watoto wa kituo hiko leoBaadhi ya Watoto wanaolelewa katika kituo cha New Life Orphans home wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya tigo


Watoto wakiwa na zawadi zao baada ya kukabidhiwa leoZawadi zikipangwa kwa ajili ya kuwapatia watoto wa katuo hiko leo


Burudan ya sarakasi ikitolewa

Meneja wa Huduma za Burudan wa Kampuni ya tigo Bw. David Zacharia kushoto akipokea risala kutoka kwa kaka mkuu wa kituo hiko Issa Athumani


Mkurugenzi wa Kituo hiko Bi.Mwanaisha Magambo akiwaonesha maofisa wa kampuni ya tigo sehemu mbalimbali wanazoishi watoto wa kituo hichoH
WAKIPATIWA MAELEZO KAMILIwarembo wa tigo waki shoo love mbele ya kamera ya burudan blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...