Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 17, 2010

ANGALRIA MAHAFANDE WAKIWA KAMBINI WANAKUWAJE

Afande japo anamsachi Mwanamama lakini pia naye anaogopa na hii sijui kama ni sahihi kwa mwanamam kusachiwa na mwanaume...au ndo vile kijeshi jeshi???

Jamani eti huyu askari wa kike kaingia kufanya nini kwenye choo cha wanaume eti naye pia akisimama na mjeshi mwenzake wa kiume kunanilii haja ndogo huu si uchale wa kupitiliza huu?. Hizi ni picha za matukio ya kweli ambayo yalinaswa kupitia satellite katika maeneo mbali mbali,
haya yapo na yanatokea kila siku sio bongo tu, ebwana eeh! hata huko duniani kuna askari waliochizika kihivi??????.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...