Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 17, 2010

VODA COM KUCHANGIA ELIMU KUTUMIA M-PESA


Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa kitengo cha M-Pesa Vodacom Tanzania Bw. Exaudi Kiwali (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa uzinduzi wa npango wa Malmaka ya Elimu (TEA) na Kampuni ya Vodacom katika kuchangisha fedha za elimu kwa njia ya M- Pesa uliofanyika kwenye makao makuu ya Vodacom Tanzania Jengo la PPF Tower jijini Dar es salaam kushoto ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji Malmaka ya Elimu Tanzania Bw. Seif Mohamed. picha na www.fullshangwe.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...