Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 17, 2010

NYOTA WA PICHA ZA UTUPU KUANZA NA TIGER WOODS


Adau kuzaa na Tiger Woods

LOS ANGELES, Marekani

NYOTA wa picha za utupu, amesema amezaa na mcheza gofu maarufu Duniani, Tiger Woods kwa mujibu wa jarida la US.

Devon James mwenye umri wa miaka 29, alijifungua mtoto wake 2001 na kumwambia Tiger mwenye umri wa miaka 34, alikuwa ni baba wa mtoto baada ya miaka mitano, ilidaiwa jana.

Alieleza siri yake hiyo katika filamu zake za utupu, ambayo alikuwa akitengeneza karibuni mjini Los Angeles, mtandao huo ulisema.

Chanzo cha jarida la US kilisema: "Amesema Tiger ni baba wa mtoto anamesisitiza kuhusu hilo."

Devon anadaiwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa miaka miwili na nusu na Tiger alidai alikuwa akilipwa yeye pamoja na mwanamke mwingine mara tatu.

Pia kuna taarifa kuwa mwanamke mwingine aitwaye, Theresa Rogers naye alizaa naye mtoto.

Tiger amezaa watoto wawili kwa mke wake wa ndoa, Elin mwenye umri wa miaka 30. Ametengana na mwanamke huyo kutokana na skendo za Tiger kuwa na mahusiano mengine nje ya ndoa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...