Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 15, 2010

MSONDO WAMNYAKUWA MPIGA KINANDA AKUDO


Klalfani Issa akipapasa KIndanda wakati wa bendi ya msondo ngoma ilipokuwa ikitumbuiza kulia ni Abdul Ridhiwani
msanii mpya wa bendi ya Msondo ngoma Khalfani Issa akipapasa kinanda wakati wa onesho lao

wanenguaji wa bendi hiyo wakiwajibika katika onesho lake la mwishoni mwa wiki kutoka kushoto ni Nacho Mpendu mama nzawisa Amri SAid na Mahija Bakari
mshabiki wa bendi ya msondo Kilema msafi akicheza na shabiki mwenzie flora whety

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...