Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 16, 2010

CHERYL CORE AONEKANA KATIKA MTAZAMO MWINGINE


London, Uingereza
CHERYL Cole ameanza kuonekana katika mwonekano tofauti kutokana na kwua katia harakati la kubasilisha mwonekano wake.

Nyota huyo wa X Factor judge mwenye umri wa miaka 26, aliwapungia mashabiki juzi wakati akiwasili katika mashindano ya kusaka wanamuziki wenye vipaji yaliyofanyika mjini
Birmingham England.

Cheryl aliunga ana mshaji wngine wa mashindano hayo, Dannii Minogue, Natalie Imbruglia mwenye umri wa 35, alionekana kuwa mwembamba akiwa amevalia suruali ya kubana.

Amekwua akifanya mazoezi ya ngumu na anafanya kazi na watu wa mitindo wakati huuu ambapo anajiandaa kutoa albamu yake ya pili ya kujitegemea.

Chanzo kilisema: "Mwonekano wake mzuri ni wa nyota wa zamani wa filamu wa Hollywood na kufanana na Rita Hayworth au Ava Gardner."

Cheryl, ambaye ametengena na mumewe nyota wa timu ya England, Ashley mwenye umri wa miaka 29,amezaini lebo ya mkataba na rafiki yake Will.i.am kwa ajili ya albamu yake mpya, atakayoitoa baadaye mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...