Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 13, 2010

ARGENTINA YAICHAPA NIGERIA


Yakubu Ayegbeni wa Nigeria na Martin Demichelis wa Argentina wakiwania mpira mpira wakati wa mechi ya kuwania Kombe la Dunia Kundi B, iliyochezwa kwenye Uwanja wa Ellis Park, Johannesburg jana. Argentina ilishinda mabao.....

Angel Di Maria wa Argentina na Chidi Odiah wa Nigeria wakigombea mpira wakati wa mechi ya kuwania Kombe la Dunia Kundi B, iliyochezwa kwenye Uwanja wa Ellis Park, Johannesburg jana. Argentina ilishinda mabao... .

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...