Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 13, 2010

RAJABU MHAMILA SUPER D ASHEREKEA KUZALIWA KWAKE LEO


NASHUKULU MUNGU NIMEZALIWA UPYAA SIKU YA LEO TUPO PAMOJA WADAU SHEREHE ZINAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA AFRI CENTER ILALA WAKATI WANA WA MSONDO NGOMA WAKITUMBUIZA KARIBUNI
mdau wa blog hii Rajabu Mhamila Super 'D' photo journalist businnes time majira, msemaji wa msondo ngoma,kocha wa ngumi timu ya Ashanti Ilala atimiza miaka kadhaa katika maisha yake leo
SUPER D AKIWA NA WADAU MBALIMBALI KATIKA MOJA YA KAZI ZAKE

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...