Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 17, 2010

SERENGETI YAWAGEA JEZI WABUNGE


Mkuu wa Kiwanda Cha bia ya Serengeti, Wiston Kagusa (kushoto) akimkabidhi jezi kwa naibu waziri wa Habari Joer Bendera kushoto ni meneja mahusiano na mawasiliano wa kiwanda hicho. Teddy Mapunda na kulia na wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya muhungano wa Tanzaniavifaa hivyo kwa ajili ya mashindano mbalimbali ya bunge yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...