Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, June 19, 2010

DAR LEO ILIVYOWAPAMBANISHA FM ACADEMIA NA 5 STAR MORDEN TAARABU

issa kamongo
pigaji wa ngoma wa bendi ya FM Academia Rashidi Ally 'Chidy Tumba, akiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Traveltain Dar es salaam kushoto ni mpiga Bess.Gion Ngimbi
Rapa wa bendi ya FM Academia Kalala Hamza akirapu wakati wa onesho lao lililofanyika juzi kulia ni mpigaji wa ngoma wa bendi hiyo Rashidi Ally 'Chidi Tumba.(Pocha na Rajabu Mhamila)

Baadhi ya wanenguaji wa bendi ya FM Academia wakiwajibika katika onesho lao Dar es salaam

Mwimbaji wa bendi ya five star morden taarabu Mariamu Hamisi akimba wakati wa onesho lao lililofanyika Dar es salaam juzi na kudhaminiwa na gazeti la Dar leo.
waimbaji wa FM
milindimo ya pyani ilitawala
mambo yalikuwa si mchezo usipime ndugu yangu
wanenguaji wakiwajibika

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...