Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 16, 2010

EVERTON KUMNYAKUWA OSCAR CARDOZO


Everton wamtaka Cardozo wa Benfica

London, Uingereza

KLABU ya Everton ina mikakati ya kutaka kumsaini mshambuliaji wa Benfica, Oscar Cardozo baada ya klab yake kusema kwua anaweza kuuzwa.

Mshmabuliji huyo mwenye umri wa miaka 27 alisema kuwa anataka kucheza soka sehemu nyingine huku akiguzi kuwa anataka kuche katika klabu kubwa

Wakati huohuo mkurugenzi wa Ufundi wa Manchester City, Mike Rigg amesema kuwa klabu hiyo ya Eastland inamtaka mchezaji huyo wqa kimataifa wa Paraguay, kama wanavyomtaka mchezaji mwensie wa Benfica, Angel Di Maria.

Inadaiwa kwua klabu hiyo imetenga dau la pauni milioni 20 kwa ajili ya mshambuliaji huyo aliongoza kwa kufunga magoli Ureno.

Inadaiwa kuwa Benfica inaweza kumuuza Cardozo kwa nusu ya bei yake, Everton italazimika kumuuza kuuza mchezaji ili kuweza kutuma ofa ya kumnunua Cardozo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...