

Miss Redds Ilala 2009 Sylvia Frank Shally ambaye ndiye anayewanoa washiriki wa sindano la Miss Ilala 2010,akiwaelekeza jambo leo asubuhi kambini kwao ndani ya Lamada Hotel wakati walipokuwa wikifanya mazoezi ya kujiwela fiti na shindano hilo ambalo limekuwa likiibua msisimko mkubwa wa washabiki na watazamaji wake.
No comments:
Post a Comment