Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 21, 2010

Sergio Aguero ATESA NA BINTI WA Diego maradonna HUKU AKIBEBA NCHI YAKE KIKAMILIFUmaradona na bintiye giannina KATIKA MOJA YA MECHI WALIZOKWENDA KUSHUGHUDIA PAMOJA
Aguero ni mchezaji mshambuliaji nyota wa klabu ya Athletic Madrid ya Hispania
na timu ya Taifa ya argentina. Sergio amemchumbia binti wa Diego maradona
aitwaye Giannina dinorah na tayari wameshapata mtoto wa kiume aitwaye Benjamin
ambaye alijifungua huko Madrid.Diego maradona alikuwepo Madrid kusubiri ujio wa
mjukuu wake huyo. huyu ni mchezaji muhimu sana katika
kikosi cha argentina.

Raha ni pale unapokuwa ni mkwe wa kocha wako na
una kiwango kinachoridhisha kuweza kuwekwa katika
kikosi cha timu ya taifa Sergio Aguero ni mkwe wa
kocha maarufu duniani Diego maradonna.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...