Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 13, 2010

TWIGA STARS KUCHEZA A.KUSINI BAADA YA KOMBE LA DUNIA


TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE WAKIWA MAZOEZINI
Timu ya TWIGA STARS inatarajia kwenda kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya wanawake ya AFRIKA KUSINI mara baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la DUNIA inayoendelea nchini humo.
Katibu mkuu wa TFF FREDRICK MWAKALEBELA amesema mchezo huo wa kirafiki umeombwa na shirikisho la soka nchini AFRIKA KUSINI .
Amesema TFF ipo tayari kuipeleka timu hiyo katika mchezo huo wa kirafiki hii itasaidia kuiweka safi TWIGA STARS katika fainali za mataifa ya AFRIKA kwa wanawake yaliopangwa kufanyika nchini AFRIKA KUSINI mwezi wa tisa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...