Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 18, 2010

ZAIN YATOA MSADA WA VITABU KWA WATOTO WA MAHABUSU UPANGA


Zain
Mwalimu Margaret Lubeleje (kulia) anayefundisha watoto katika Mahabusu ya watoto wadogo ya Upanga jijini Dar es Salaam akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania Tunu Kavishe (kushoto). Kampuni ya Zain juzi ilitoa msaada wa vitabu mbalimbali katika mahabusu hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...