Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 15, 2010

ILALA YAPANIA KUTOA MISS TANZANIA 2010


MISS ILALA 2009 AKIWA JKATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAREMBO WATAKAOWANIA TAJI HILO 2010
Mwalimu wa warembo Miss Ilala 2010 Slyvia Shally akipozi na warembo katika picha shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 26 kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pear Ubungo jijini Dar es salaam ambapo katika kujizatiti zaidi na mashindano hayo Mwenyekiti wa kamati ya Redds Miss Ilala Miss Jackson Kalikumtima amesema wajiweka sawa na wanamipango madhubuti ili kuhakikisha kwamba burudani zanakuwa bomba siku ya shindano lakini pia shindano lenyewe linakuwa kwenye viwango vya kimataifa kulingana na aina ya wapenzi wa masuala ya urembo .

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...