Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 15, 2010

SAFAR LAGER /TAPA WAFANYA SEMINA YA KURIPOTI MCHEZO WA POOL KWA WANAHABARI


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya mchezo wa pool jana kilichofuata si mchezo kula kunywa mpaka tunaondoka kwa kwli ilikuwa full raha pongezi kwa bia ya Safari Lager

baazi ya wadau wa mchezo huo wakielekeza waandishi jinsi ya mtu anaetakiwa kuanza kushika fimbo
Mdau maichael Machelah alikuwepo kuwakilisha kama kawa

Katibu wa mchezo wa pool Amosi Kafwiga akielekeza jinsi ya kupanga mipira
meza iliyotumika kupata mafunzo kwa vitendo hikitengenezwa kabla ya mchuano mkari wa mchezo wa pool kwa wanahabari
Meneja wa bia ya SAfar Lager Bw. Fimbo Butallah akielekeza jinsi ya kulipoti michuano hiyo
AHAA NILIKUWEPO KUWAWAKILISHA WASOMAJI WA BLOG HII
Baazi ya waandishi wakifatilia mafunzo ya siku moja ya mchezo wa pool

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...