Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 16, 2010

WANACHAMA WA YANGA WAGOMBEA KADI KAMA KARANGA


akijaziwa fomu ya kugombea leo mda mfupi uliopita
Mwanachama wa Yanga Masuod Sadi (kushoto) akimkabidhiwa kitita cha shilingi laki mbili ya kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa yanga Ayubu Nyenzi Makao makuu ya klabu hiyo Dar es salaam jana anaeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Klabu hiyo Kanda ya TEmeke Amiri Ngayana.(Picha na Rajabu Mhamila)

Mwanachama wa Yanga Masuod Sadi (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa yanga Ayubu Nyenzi Makao makuu ya klabu hiyo Dar es salaam jana anaeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Klabu hiyo Kanda ya TEmeke Amiri Ngayana.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...