
Baadhi ya washiliki wakionesha mavazi yao ya ubunifu wakati wa bonanza la kupiga vita malaria lililofanyika Dar es Salaam jana na kudhaminiwa na Kampuni ya Pepsi na Jalida la Namba Teni

Mmoja ya washiliki akipita na vazi la ubunifu wakati wa tamasha hilo lililofanyika Dar es salaam jana na kudhaminiwa na Kampuni ya Pepsi, Jarida la namba Teni

Wanafunzi wakijadiliana kabla ya tamasha hilo

Wanafunzi wakipanga mikakati watakavyokua uwanjani

Kila mshiliki alionesha vazi lake kwa ustadi mkubwa

Vazi la kimasai linalopendwa na watu wengi Duniani lilikuwepo
No comments:
Post a Comment