Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 29, 2011

MKURUGENZI WA ASET ATEMBELEA STUDIO ZA URBAN PULSE


Director wa Lovely Gamble Renny akiwachekesha Baraka Baraka na Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka alipotembelea Studio za URBAN PULSE
Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka Jikoni
Baraka Baraka akimwonesha Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka baadhi za kazi za URBAN PULSE
Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka Jikoni
Salam,
Kwa Mara Nyingine URBAN PULSE CREATIVE ilibahatika kupataugeni wa Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka ambaye alikuja nchini Uingereza kwenye ziara ya Kikazi, ikiwa mojawapo ni kutembelea shughuli zinazofanywa na wajasilimali wa kitanzania waliopo hapa nchini Uingereza. Mkurugenzi wa ASET alipata fursa ya kujionea kazi mbalimbali zinazotengenezwa ndani ya studio URBAN PULSE na kuwapa hongera kwa kazi wanazozifanya. Pia aliweza kukutana na baadhi ya timu ya URBAN PULSE na kuwatia moyo akiwepo RENNY, BARAKA BARAKA na FRANK EYEMBE (hayupo Pichani).

URBAN PULSE inapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa uongozi mzima wa ASET pamoja na Mkurugenzi wake ASHA BARAKA kwa kuja kututembelea na kumtakia safari njema ya kurudi nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...