Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 22, 2011

WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'COOPLES REFRESH' WAPEWA ZAWADI ZAO NA ZANTEL

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Matukio wa Kampuni ya simu ya Zantel Bw. Wiliam Mpinga (kushoto) akimkabidhi koponi Bw.Fadhili Mfinanga, Dar es salaam juzi kwa ajili ya kupata chakula cha mchana baada ya kushiliki katika promosheni ya 'Couples Refresh' baada ya kutuma meseji nyingi ambapo katika promosheni hiyo zawadi kubwa ilikuwa safari ya kwenda mbuga ya Serengeti na washindi 5 walijishindia dola 500
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Matukio wa Kampuni ya simu ya Zantel Bw. Wiliam Mpinga (kushoto) akimkabidhi koponi Bw.Erick Mwakibinga, Dar es salaam juzi kwa ajili ya kupata chakula cha mchana baada ya kushiliki katika promosheni ya 'Couples Refresh' baada ya kutuma meseji nyingi ambapo katika promosheni hiyo zawadi kubwa ilikuwa safari ya kwenda mbuga ya Serengeti na washindi 5 walijishindia dola 500

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...