
Mbwana Matumla akiojiwa baada ya kutetea ubingwa wake jana

Mdau wa ngumi akimvisha mbwana wake kushoto ni kocha wa ngumi Habibu Kinyogoli ambaye anaendesha mafunzo hayo Ilala Dar es Salaam

Refarii Antoni Ruta Akimwesabia Gabrier Ochuang baada ya kupata kichapo cha haja


Dam
u nzito kuliko maja bondia mkongwe Rashidi Matumla (kulia) akimpatia maelezo mdogo wake Mbwana Matumla wakati wa pambano lake la kutetea Ubingwa wa UBO lililofanyika Dar es salaam jana Mbwana alishinda kwa point na kutetea vema rtaji lake kushoto ni kocha Habibu Kinyogori
Ufundi wa kutupiana makonde ukiendelea

Giblbert Ochieng akioneshana ufundi wa kutupa makonde na Mbwana Matumla jana
No comments:
Post a Comment