Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 12, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA

Picha ya Pamoja na wenyeji baada ya hafla hiyo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake wakati alipoalikwa chakula cha jioni jana Mei 11 jijini Istanbul Uturuki. Katikati ni Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Uturuki, Ziya Karahan. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...