Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 25, 2011

MGAMBO WASAMBALATISHA KIJIWE CHA WAVUTA GUNDI NA KUCHEZA KAMARI

Mgambo wa manspaa ya Ilala wakifanya ulinzi katika mzunguko wa barabara ya Uhuru na Msimbazi ambapo watoto wanaoisha katika mazingira magumu wamegeuza kijiwe cha kufuta bangi,kucheza kamari na kuvuta ngundi kwa aqjili ya ulevi
Watoto wanaoishu katika mazingila maguma wakibadilishana gundi ili wavute walewe


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...