Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 25, 2011

KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL YAZINDUA BODI MPYA YA WAKULUGENZI

Bodi Mpya na yazamani ikiwa katika picha ya pamoja leo


Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa kulia akizungumza na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos Bukuku
wajumbe wapya na wazamani wakijadiliana baada ya kuzinduliwa bodi mpya
bodi mpyaWaziri wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akimpongeza Mwenyekiti mpya wa bodi wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos BUkuku katikati ni Said Amir SaidMTENDAJI MKUU SAID aMIR SAID akitambulisha bodi Mpya

AMANDA LUHANGA AKIWA NA KAMERA YAKE KWA AJILI YA KUCHUKUA MATUKIO MBALIMBALI


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...