Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 20, 2011

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MAZIKO YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA WAZEE WA CCM MKOA WA DAR, ATHUMAN MWINYIMVUA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Athumani Hassan Mwinyimvua, aliyefariki dunia leo na kuzikwa leo, kwenye Makaburi ya Karume Mwembechai.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihudhuria maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Athumani Hassan Mwinyimvua, aliyefariki dunia leo, ambaye alizaliwa mwaka 1930.


Wanachma wa CCM na Wananchi wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Athuman Hassan Mwinyimvua, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, aliyefariki dunia leo, Mwinyimvua amezikwa leo.


Askari wa usalama barabarani, akiongoza magari ya msafara wa makamu wa rais kuelekea katika swala kwenye msikiti wa Mwwembechai.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...