Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 2, 2011

MISS KILIMANJARO KUCHUJWA WIKI HII

Warembo wapatao therathini wanategemea kuchujwa hadi kufikia idadi ya washiriki kumi na mbili ambao watapanda jukwaani kuchuana katika kinyang"amyiro cha kumsaka mlimbwende wa mkoa wa kilimanjaro 2011.
Shindano hilo ambalo liko katika maadalizi mazuri kupitia kamati yake ambayo siku ya Jumamosi hii watachuja warembo hao ili kupata idadi kamili inayoitajika na kupata warembo bora ambao wataongeza msisimuko wa mashindano hayo kama ilivyodhumuniwa na kamati hiyo.
Msemaji wa mashindano hayo Bw. Methusela Magese aliiambia gazeti hili kuwa tarehe ya mashindano imebadilishwa na sasa shindano hilo litafanyika tarehe 18 juni katika Hotel ya Salsanero iliyoko shant town mjini moshi.
"pia tunawashukuru warembo wote waliojitokeza kushiriki na bado hajachelewa yule ambae hajajitikeza kwani akija siku ya mchio wakati wa usaili anaweza akapita kutokana na vigezo alivyonavyo,tunaomba warembo wte wajitokeze kwa wingi ili tupate warembo bora zaidi mwaka huu" alisema magese.
Aidha wapenzi wote wa mtanange huu wa miss kilimanjaro 2011 watakuwa wanapata habari na picha za warembo kupitia mtandao wetu wa www.uniqueentertz.blogspot.com
Miss kilimnaro iedhaminiwa
na Vodacom,Redds,Bamm solution,kilimanjaro bus service,kilimanjaro safari lodge,Africa sana pub,Rafiki min super market,Snow view hotelRahisi petrol stationMoshi fm,Fortune MountainresortVia africa busness solutionBen Expetation,OrientalBureau de change,www.uniqueentertz.blogspot.com na Shear Illusion.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...