Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 27, 2011

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI MJINI MOROGORO KWENYE KAMPUNI YA UMEME YA WAMAREKANI YA SYMBION


Wakijiandaa kupanda basi na kuelekea kwenye eneo ambapo wanafundisha watanzania mambo yanayohusu Umeme
Mkurugenzi wa Symbion nchini,Christopher Camponovo akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili
Meneja wa Mradi wa Symbion,DonBrindlee akizungumza na waandishi wa habari
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi huo
Wandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakisikiliza kwa makini
Akizungumza
Coordinator wa maswala ya Usalama kazini kuhusu maswala ya HIV/AIDS mahala pa kazi, Dk.Essaba Ndaro akizungumza na waandishi wa habari kuhusu elimu itolewayo kwa wafanyakazi kuhusu Ukimwi..
Maneja wa Usalama mahala pa kazi, Andrew John akizungumza na waandishi wa habari kuhusu elimu itolewayo kwa wafanyakazi kuhusu Usalama wao.
Hiyo ni Hopitali ndogo ambapo wafanyakazi wanapiga kambi hulazimika kuwa nayo.
Hivyo ni vifaa ambavyo kila mfanyakazi hupaswa kuwa navyo mara anapoingia kazini

Hospitali ndogo ambayo kila dereva hupaswa kuwa ayo
Meneja wa mazingira, Adrian Katesigwa akizungumza na waandishi wa habari
Meneja wa Mafunzo akizungumza na waandishi wa habari
Akionyesha vifaa muhimu
Hizi ni buti zinazotakiwa
Mkuu wa mafunzo, Jacob Phelps akiwaeleza jnsi wanafunzi wanavyochimba mashimo ya nguzo.
Wakichimba
Akizungumza na waandishi wa habari

Wanafunzi wakifunga
Wanafunzi wakisimika nguzo
Wakijifunza mafundo
DUH...
Hii kali...

Wakinyanyua nguzo

Twende juu
Nyanyua

Kama nyani vile


Mwanamke pekee,akiwa juu ya nguzo
Huyu demu mwisho....


Huyu demuuuuuuuu.......... au Men.......

Demu akiongea na waandishi wa habari, anadai alikuwa mfanyakazi wa ndani katika kampuni hiyo


Duh....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...